BAADA YA MECHI YA JANA KATI YA TIMU YA TAIFA YA WANA WAKE TWIGA STARS NA SEATTLE SOUNDERS,WATANZANIA WAISHIO SEATTLE WASHINGTON WALIANDAA CHAKULA CHA PAMOJA HILI KUFURAHI PAMOJA NA WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA WANA WAKE TWIGA STARS KATIKA VIWANJA YA LAKE WASHINGTON PARK SEHEMU INAOITWA BELLEVUE.ILIKUWA NA SHAMRASHAMRA NA FURAHA KUBWA KWA WANA SEATTLE KUJUMUIKA NA NDUGU TOKA NYUMBANI KATIKA HAFLA HIYO.HAPO CHINI NI PICHA YA MATUKIO KADHAWAKADHA.
href="https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjob93koY8kJ_ZgstJeSAKzuly_D0968ZFvlZiElVe0eMTl9tMosUXdMK6cfgdZeQbXLH852qfiUefYcLLzGuB8E0ow7gWONftmSP7rbGueVHK3cIlJX2hOtFo4onU1z-fHNdIJwXeVIt49/s1600/268.JPG">
Tanzamerica
Sunday, August 8, 2010
Subscribe to:
Posts (Atom)