
WANAFUNZI wa Shahada ya kwanza na ya pili katika Chuo cha Usimamizi wa Fedha [IFM] jana waligoma kueneelea na masomo kutokana a ongezeko la ada lililipanda ghafla. Wanafunzi hao jan waligoma kuenela na masomo na kuweka migomo baada kupinga ongezeko la ada zaidi ya asilimia hamisini chuoni hapo.
Wanafunzi hao walionekana kutka kuandama kwend kutaka kumuona mfadhili wea chuo hicho Waziri wea Fedha ili weakamueleze tatizo hilo kama ana taarifa nalo.
WAnafunzid hao waliweka mgomo huo baada ya kutopata majibu ya maokeo ya mitihani baada ya kuambiwa hadi wamalize ada na kushangazwa na kauli hiyo.
Wanafunzi hao walidai kuwa ada zimepand kutoka shulingi milioni moja hadi kufika milioni moja na laki sita jambo ambalo limewshangaza kupanda kwa ada hizo bila ya kupewa taarifa rasmi.
No comments:
Post a Comment